DKT SAMIA AWEKA BIL 307 KUPELEKA UMEME SONGEA-TUNDURU HADI MASASI

Published:

Kwenye kampeni zake zinazoendelea mikoa ya Ruvuma na Mtwara Dkt Samia katika sekta ya miundombinu, ameeleza kuwa mradi mkubwa wa gridi ya umeme wenye thamani ya shilingi bilioni 307 ambao unatekelezwa, kwa kujenga njia ya umeme kutoka Songea–Tunduru hadi Masasi, ukiwa na vituo vya kupooza umeme Tunduru na Masasi. Ujenzi wa kituo cha Tunduru kimefika 50%. Hii yote ni kuhakikisha Ruvuma inapata umeme bila changamoto.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img