DKT SAMIA KUIJENGA BARABARA YA MNIVATA-NEWALA KM 100 KWA KIWANGO CHA LAMI

Published:

Akiwa katika mwendelezo wa kampeni zake mkoani Mtwara Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa serikali yake inatekeleza mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Ruvuma–Tunduru hadi Masasi, wenye vituo viwili vya kupooza na kusambaza umemje.

Aidha, kwenye barabara, tutaendelea kukamilisha kazi tuliyoianza alisema Dkt Samia, Barabara ya Mnivata-newala-masasi tutaikamilisha. Pia ameahidi kukamilishwa kwa sehemu ya barabara ya Minivata–Mtesa (km 100) kwa kiwango cha lami, pamoja na barabara zingine za mjini Masasi zipitike bila wasiwasi.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img