BRT PHASE 2 – Gerezani/Kivukoni hadi Mbagala Rangi Tatu
kupitia Kilwa, Kawawa, Bandari & Sokoine km 20.3 (Sh. bilioni
285.1)
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali ya Awamu ya Sita
ikikamilisha ujenzi wa miundombinu ya BRT Phase 2 yenye urefu wa
kilometa 20.3 kwa gharama ya takribani Shilingi bilioni 285.1 (USD
159.32 milioni), ambapo mamia ya makisio ya ajira ziliundwa katika
hatua za ujenzi.
Mradi huu utahudumia na kunufaisha zaidi wakazi wa
Mbagala, Temeke, Chang’ombe, Kurasini, Gerezani na Kivukoni,
sambamba na kuunganisha bandari na katikati ya jiji la Dar es Salaam.

