BRT PHASE 4 – Boko Basihaya|Mwenge hadi Kivukoni & Ubungo kupitia Bagamoyo & Sam Nujoma km 30.1 (Sh. bilioni 225)
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kutekeleza ujenzi wa BRT Phase 4 yenye urefu wa kilometa 30.1 kwa gharama ya takribani Shilingi bilioni 225 (kulingana na ESIA ya Desemba 2023). Mradi huu unajumuisha makutano muhimu pamoja na daraja juu ya makutano ya Bagamoyo–Kawawa na Bagamoyo–Sam Nujoma, na utanufaisha zaidi wakazi wa Boko, Mwenge, Mbezi, Kawe, Kivukoni na Ubungo, kwa kuboresha mtandao wa usafiri wa haraka ndani ya jiji la Dar es Salaam
Published:

