Barabara ya Buyuni – Chamazi kilometa 3.6 kujengwa kwa Sh. bilioni 6.4

Published:

Barabara ya Buyuni – Chamazi kilometa 3.6 (Sh. bilioni 6.4)
Chini ya Uongozi bora wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Jiji la Dar es Salaam imejenga na kukarabati kipande cha barabara cha kutoka Buyuni–Chamazi chenye urefu wa kilometa 3.6 kwa gharama ya takribani Shilingi bilioni 6.4, ambapo jumla ya makisio ya ajira 700 ziliundwa zikiwemo makisio ya ajira 230 za moja kwa moja na makisio ya ajira 470 za muda. Mradi huu utanufaisha zaidi wakazi wa maeneo ya Buyuni, Chamazi, Mbagala, Kitunda na Kivule, ukiwa na lengo la kuharakisha maendeleo na kurahisisha usafiri ndani ya jiji la Dar es Salaam na viunga vyake.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img