RAIS SAMIA KUTUMIA BIL100 UJENZI DARAJA JANGWANI.

Published:

Daraja kubwa la Jangwani Bridge lenye urefu wa mita 390, Barabara mita 700 kujengwa kwa Sh.97.1bn
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa Jangwani Bridge, daraja jipya lenye urefu wa takribani 390 mita likiambatana na barabara za kuunganisha zenye jumla ya 700 mita.

Mradi huu unagharimu takribani Shilingi bilioni 97.1, na umelenga kuondoa kero za mafuriko katika bonde la Mto Msimbazi na kurahisisha usafiri wa magari na watembea kwa miguu kati ya Jangwani, Kigogo, Magomeni na katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

Ujenzi huu utapunguza athari za mvua za msimu na kuimarisha usalama wa barabara ya Morogoro, ambayo ni kiunganishi kikuu kati ya Dar es Salaam na mikoa ya nyanda za juu na magharibi mwa Tanzania.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img