Wednesday, November 5, 2025

Author: alluteJr

NANYUMBU WAWEKA KIBINDONI BIL 73 ZA KOROSHO

                                  DKT Samia aahidi kuhusu  Kilimo Bora na Maisha Bora Kwa Wakulima-MTWARA Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia...

DKT SAMIA AAHIDI KONGANI ZA VIWANDA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA RUVUMA 

Mgombea kiti cha Urais kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mji wa Songea kujitokeza kwa wingi na kukipigia kura chama cha...

DKT. SAMIA KUJENGA SOKO LA KISASA LA MANZESE SONGEA ENDAPO WATAMCHAGUA.

CCM kupitia mgombea wa kiti cha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewaahidi wananchi katika wilaya ya Songea endapo watakipa ridhaa tena chama cha Mapinduzi...

SASA DKT. SAMIA KUIFUNGUA SONGEA KIUCHUMI ENDAPO ATASHINDA

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wananchi wa Songea kuwa endapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao ataifungua Ruvuma kimawasiliano na...

DKT. SAMIA KUWANUFAISHA WAKULIMA NAMTUMBO ENDAPO ATACHAGULIWA. 

 Mgombea kiti cha urais kupitia CCM amewaomba wakulima  wa wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma kuwachagua wagombea wanaotokana na CCM akiwemo yeye katika nafasi ya...

SASA HUDUMA ZA KIBINGWA KUPATIKANA RUVUMA – DKT. SAMIA

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaomba wananchi wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wamchague...

DKT. SAMIA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA TUNDURU ENDAPO ATASHINDA.

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Tunduru kuwa serikali yake iwapo...

ENDAPO NITACHAGULIWA VITALU 221 KUNUFAISHA WAFUGAJI TUNDURU- DKT. SAMIA

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan endapo atashinda, amewaahidi wafugaji katika wilaya ya Tun duru...

DKT SAMIA AAHIDI KUJENGA ZAHANATI 20 NA VITUO 3 VYA AFYA WILAYANI TUNDURU ENDAPO ATASHINDA.

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika ziara ya kampeni mkoani...

 RAIS SAMIA KUMALIZA UHABA WA WALIMU NAMTUMBO ENDAPO ATACHAGULIWA.

RAIS SAMIA KUMALIZA UHABA WA WALIMU NAMTUMBO ENDAPO ATACHAGULIWA. Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaomba...

DKT FRED MSEMWA: MAONO LAZIMA YAWE YA KUKUTISHA KAMA TAIFA TUMEMUA KUWA NA NDOTO KUBWA.

Mbeya || Akizungumza katika Kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za...

RAIS SAMIA APELEKA KICHEKO CHA BANDARI YA KASANGA RUKWA, MKOA WATAMANI PPP UJENZI WA MELI ZA KISASA.

Chini ya uongozi wa Serikali ya Rais Samia, Bandari ya Kasanga mkoani Rukwa imekarabatiwa kwa shilingi bilioni 20 (dola milioni 8) chini ya Serikali...

Recent articles

spot_img