Wednesday, November 5, 2025

Africa

DKT. SAMIA KUJENGA SOKO LA KISASA LA MANZESE SONGEA ENDAPO WATAMCHAGUA.

CCM kupitia mgombea wa kiti cha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewaahidi wananchi katika wilaya ya Songea endapo watakipa ridhaa tena chama cha Mapinduzi...

SASA DKT. SAMIA KUIFUNGUA SONGEA KIUCHUMI ENDAPO ATASHINDA

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wananchi wa Songea kuwa endapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao ataifungua Ruvuma kimawasiliano na...

DKT. SAMIA KUWANUFAISHA WAKULIMA NAMTUMBO ENDAPO ATACHAGULIWA. 

 Mgombea kiti cha urais kupitia CCM amewaomba wakulima  wa wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma kuwachagua wagombea wanaotokana na CCM akiwemo yeye katika nafasi ya...

SASA HUDUMA ZA KIBINGWA KUPATIKANA RUVUMA – DKT. SAMIA

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaomba wananchi wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wamchague...

DKT. SAMIA AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA TUNDURU ENDAPO ATASHINDA.

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Tunduru kuwa serikali yake iwapo...

RAIS SAMIA APELEKA KICHEKO CHA BANDARI YA KASANGA RUKWA, MKOA WATAMANI PPP UJENZI WA MELI ZA KISASA.

Chini ya uongozi wa Serikali ya Rais Samia, Bandari ya Kasanga mkoani Rukwa imekarabatiwa kwa shilingi bilioni 20 (dola milioni 8) chini ya Serikali...

HAYA HAPA MAAZIMIO KIGODA CHA MWL NYERERE-MBEYA

Page 1 of 2 CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAMKIGODA CHA UPROFESA CHA MWALIMU J.K NYERERE KATIKA TAALUMA ZAUMAJUMUI WA AFRIKAKWA USHIRIKIANO NA KITUO CHA...

MBEYA: KONGAMANO HILI NI MUHIMU UKALIFUATILIA

Kongamano kubwa la kitaifa kuhusu Uchumi Jumuishi Tanzania linatarajiwa kufanyika tarehe 18 Septemba 2025 katika Ukumbi wa Nkrumah, Ndaki ya Mbeya, likiwa na kaulimbiu...

Recent articles

spot_img