Wednesday, November 5, 2025

Tanzania

Prof. Alexandra Makulilo, ambaye ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu Nyerere Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akiwa na Bw. David Kafulila, Mkurugenzi wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), kwenye Kongamano la kujadili mwenendo wa uchumi chini ya Awamu ya Sita.
Barabara ya Buyuni – Chamazi kilometa 3.6 (Sh. bilioni 6.4)Chini ya Uongozi bora wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Jiji la Dar es Salaam imejenga na kukarabati kipande cha...

RAIS SAMIA KUTUMIA BIL100 UJENZI DARAJA JANGWANI.

Daraja kubwa la Jangwani Bridge lenye urefu wa mita 390, Barabara mita 700 kujengwa kwa Sh.97.1bnChini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa Jangwani...

RAIS SAMIA ATANDIKA MWENDO KASI DAR ES SALAAM KARIBU KILA KONA

BRT PHASE 4 – Boko Basihaya|Mwenge hadi Kivukoni & Ubungo kupitia Bagamoyo & Sam Nujoma km 30.1 (Sh. bilioni 225)Chini ya Rais Samia Suluhu...

BRT PHASE III: RAIS SAMIA AMETUMIA BIL 360 KUIFIKISHA GONGO LA MBOTO

BRT PHASE 3 – Gongo la Mboto hadi katikati ya jiji kupitia Nyerere, Uhuru, Bibi Titi & Azikiwe km 23.3–23.6 (Sh. bilioni 360)Chini ya...

BRT: RAIS SAMIA AMETUMIA BIL 285.1 KUPELEKA MWENDOKASI MBAGALA

BRT PHASE 2 – Gerezani/Kivukoni hadi Mbagala Rangi Tatukupitia Kilwa, Kawawa, Bandari & Sokoine km 20.3 (Sh. bilioni285.1)Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali...

IKIWA RAIS SAMIA ATACHAGULIWA NA KUTEKELEZA AHADI YAKE YA AJIRA 5,000 ZA AFYA|| TANZANIA ITAFIKIA 95.2% YA LENGO LA WHO

Ajira Mpya 5,000 Sekta ya Afya ndani ya siku 100 zitaisogeza Tanzania kutoka 92.6% hadi 95.2% ya lengo la WHO Serikali ya Jamhuri ya Muungano...

MIL 17 KUNUFAIKA NA MATITABU BURE YA RAIS SAMIA ENDAPO WATAMPIGIA KURA OKTOBA 29.

Katika ahadi zake ndani ya siku 100, Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,imependekeza mpango wa...

TUMENUNUA DRONE 5 KUPAMBANA NA WADUDU WAHARIBIFU WA MAZAO-DKT SAMIA

AKIWA KATA YA NAKAPANYA WILAYA YA TUNDURU MKOA WA RUVUMA Kwanza, Dkt Samia alizungumzia pia kuhusu huduma Za Kijamii Dkt. Samia Suluhu Hassan amehutubia wananchi...

DKT SAMIA KUIJENGA BARABARA YA MNIVATA-NEWALA KM 100 KWA KIWANGO CHA LAMI

Akiwa katika mwendelezo wa kampeni zake mkoani Mtwara Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza...

DKT SAMIA AKUMBUSHIA AHADI YA HEKTA MIL 6 ZA MALISHO YA MIFUGO ENDAPO ATASHINDA

Akiwa Wilayani Nanyumbu, Dkt. Samia amewaahidi wananchi kuendelea kuboresha barabara za lami ndani ya mji wa Mangaka na zile zinazounganisha wilaya na mkoa ikiwa...

DKT SAMIA AWEKA BIL 307 KUPELEKA UMEME SONGEA-TUNDURU HADI MASASI

Kwenye kampeni zake zinazoendelea mikoa ya Ruvuma na Mtwara Dkt Samia katika sekta ya miundombinu, ameeleza kuwa mradi mkubwa wa gridi ya umeme wenye...

NANYUMBU WAWEKA KIBINDONI BIL 73 ZA KOROSHO

                                  DKT Samia aahidi kuhusu  Kilimo Bora na Maisha Bora Kwa Wakulima-MTWARA Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia...

DKT SAMIA AAHIDI KONGANI ZA VIWANDA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA RUVUMA 

Mgombea kiti cha Urais kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mji wa Songea kujitokeza kwa wingi na kukipigia kura chama cha...

Recent articles

spot_img