CCM kupitia mgombea wa kiti cha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewaahidi wananchi katika wilaya ya Songea endapo watakipa ridhaa tena chama cha Mapinduzi...
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wananchi wa Songea kuwa endapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao ataifungua Ruvuma kimawasiliano na...
Mgombea kiti cha urais kupitia CCM amewaomba wakulima wa wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma kuwachagua wagombea wanaotokana na CCM akiwemo yeye katika nafasi ya...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaomba wananchi wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wamchague...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,
Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Tunduru kuwa serikali yake iwapo...
Chini ya uongozi wa Serikali ya Rais Samia, Bandari ya Kasanga mkoani Rukwa imekarabatiwa kwa shilingi bilioni 20 (dola milioni 8) chini ya Serikali...
Kongamano kubwa la kitaifa kuhusu Uchumi Jumuishi Tanzania linatarajiwa kufanyika tarehe 18 Septemba 2025 katika Ukumbi wa Nkrumah, Ndaki ya Mbeya, likiwa na kaulimbiu...