Prof. Alexandra Makulilo, ambaye ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu Nyerere Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akiwa na Bw. David Kafulila, Mkurugenzi wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), kwenye Kongamano la kujadili mwenendo wa uchumi chini ya Awamu ya Sita.
Barabara ya Buyuni – Chamazi kilometa 3.6 (Sh. bilioni 6.4)Chini ya Uongozi bora wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Jiji la Dar es Salaam imejenga na kukarabati kipande cha...
Daraja kubwa la Jangwani Bridge lenye urefu wa mita 390, Barabara mita 700 kujengwa kwa Sh.97.1bnChini ya Rais Samia Suluhu Hassan, ujenzi wa Jangwani...
BRT PHASE 2 – Gerezani/Kivukoni hadi Mbagala Rangi Tatukupitia Kilwa, Kawawa, Bandari & Sokoine km 20.3 (Sh. bilioni285.1)Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali...
Katika ahadi zake ndani ya siku 100, Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania, chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,imependekeza mpango wa...
AKIWA KATA YA NAKAPANYA WILAYA YA TUNDURU MKOA WA RUVUMA
Kwanza, Dkt Samia alizungumzia pia kuhusu huduma Za Kijamii
Dkt. Samia Suluhu Hassan amehutubia wananchi...
Akiwa Wilayani Nanyumbu, Dkt. Samia amewaahidi wananchi kuendelea kuboresha barabara za lami ndani ya mji wa Mangaka na zile zinazounganisha wilaya na mkoa ikiwa...
CCM kupitia mgombea wa kiti cha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewaahidi wananchi katika wilaya ya Songea endapo watakipa ridhaa tena chama cha Mapinduzi...
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wananchi wa Songea kuwa endapo atachaguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao ataifungua Ruvuma kimawasiliano na...
Mgombea kiti cha urais kupitia CCM amewaomba wakulima wa wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma kuwachagua wagombea wanaotokana na CCM akiwemo yeye katika nafasi ya...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaomba wananchi wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wamchague...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,
Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Tunduru kuwa serikali yake iwapo...
Mbeya || Akizungumza katika Kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za...