Wednesday, November 5, 2025

Uncategorized

Prof. Alexandra Makulilo, ambaye ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu Nyerere Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akiwa na Bw. David Kafulila, Mkurugenzi wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), kwenye Kongamano la kujadili mwenendo wa uchumi chini ya Awamu ya Sita.
Barabara ya Buyuni – Chamazi kilometa 3.6 (Sh. bilioni 6.4)Chini ya Uongozi bora wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Jiji la Dar es Salaam imejenga na kukarabati kipande cha...

BRT: RAIS SAMIA AMETUMIA BIL 285.1 KUPELEKA MWENDOKASI MBAGALA

BRT PHASE 2 – Gerezani/Kivukoni hadi Mbagala Rangi Tatukupitia Kilwa, Kawawa, Bandari & Sokoine km 20.3 (Sh. bilioni285.1)Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali...

BENKI YA DUNIA: KILA DOLA MOJA INAYOWEKEZWA KWENYE BIMA YA AFYA HUCHANGIA HADI DOLA 5 KWENYE PATO LA TAIFA (GDP)

Dkt Samia ameahidi Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Coverage) kuanza ndani ya siku 100 baada ya kuapishwa ikiwa atachaguliwa Oktoba 29. Kwa mujibu...

DKT SAMIA AWEKA BIL 307 KUPELEKA UMEME SONGEA-TUNDURU HADI MASASI

Kwenye kampeni zake zinazoendelea mikoa ya Ruvuma na Mtwara Dkt Samia katika sekta ya miundombinu, ameeleza kuwa mradi mkubwa wa gridi ya umeme wenye...

ENDAPO NITACHAGULIWA VITALU 221 KUNUFAISHA WAFUGAJI TUNDURU- DKT. SAMIA

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan endapo atashinda, amewaahidi wafugaji katika wilaya ya Tun duru...

DKT SAMIA AAHIDI KUJENGA ZAHANATI 20 NA VITUO 3 VYA AFYA WILAYANI TUNDURU ENDAPO ATASHINDA.

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika ziara ya kampeni mkoani...

 RAIS SAMIA KUMALIZA UHABA WA WALIMU NAMTUMBO ENDAPO ATACHAGULIWA.

RAIS SAMIA KUMALIZA UHABA WA WALIMU NAMTUMBO ENDAPO ATACHAGULIWA. Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaomba...

DKT FRED MSEMWA: MAONO LAZIMA YAWE YA KUKUTISHA KAMA TAIFA TUMEMUA KUWA NA NDOTO KUBWA.

Mbeya || Akizungumza katika Kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za...

RAIS SAMIA AAHIDI UMEME MARA TATU YA SASA IFIKAPO 2030

Mgombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Ilani yake amesema kuwa, Tanzania itaendelea kutekeleza mikakati madhubuti ya kuimarisha upatikanaji...

DAVID KAFULILA:NCHI ZOTE DUNIANI ZINAKOPA DENI LA DUNIA NI ZAIDI YA 90% YA UCHUMI WA DUNIA.

MBEYA, Katika Kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za Umajumui wa...

RAIS SAMIA ANAWEKEZA KWENYE SEKTA ZINAZOGUSA MAISHA YA WENGI: KAULI YA KAFULILA

Mbeya, Akizungumza katika Kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za Umajumui...

DAVID KAFULILA: BANDARI YA UVUVI YA KILWA INAYOJENGWA NA RAIS SAMIA NDIO BANDARI YA UVUVI BORA ZAIDI AFRICA MASHARIKI NA KATI.

Mbeya || Akizungumza katika Kongamano lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kupitia Kigoda cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za...

HAYA HAPA MAAZIMIO KIGODA CHA MWL NYERERE-MBEYA

Page 1 of 2 CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAMKIGODA CHA UPROFESA CHA MWALIMU J.K NYERERE KATIKA TAALUMA ZAUMAJUMUI WA AFRIKAKWA USHIRIKIANO NA KITUO CHA...

Recent articles

spot_img